Jarida la juni 2009

Mwezi uliopita, tulipata nafasi ya kusherehekea Siku ya Kimataifa ya Familia katika Dar es Salaam na tutawapa habari kadhaa kuhusu tukio hili. Kabla sijawazungumzia kuhusu mradi wa ‘ugumu wa upatikanaji wa elimu ya msingi’ mradi ambao tuliutambulisha kwenu katika jarida letu la Februari 2009.
Ingawaje, kama kawaida tunaweza kupata moyo mara kadhaa, kwanza katika kujitoa kwa marafiki wawili wasiyokuwa na maisha rahisi, lakini hawawa sahau wale wanao fanyanao kazi karibu ambao hawajui kusoma na kuandika Kiswahili.






